othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 6,850
- 11,033
Halafu lile comedy Lao linalokula mshahara wa bure Ahmed ally liendelee kuwaigizia hawa makolo maana hayajitambui
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au ww ni kenge...Hasira za nini
Hua hakosi manenoAhmed Ally anasemaje
Bado mpk leo tunawashangilia masandawana...Upo uwezekano mwakani msishiriki international games.
Nafasi ya Kwanza hii mmeitema, je kwenye ligi mtaweza kushindana na Azam mpate nafasi ya Pili?
Mna mechi na Yanga na mna mechi na Azam, hapo ndio akili zitawarudia, wakati mnashabikia Mamelodi tuliwakumbusha mfocus kwenye timu yenu hamkashupaza shingo, haya Kiko wapi sasa?
Huo ndio uwezo halisi wa timu yako bila bahasha.Hawa waliocheza leo sio simba aisee kuna kitu nyuma ya pazia.
Endeleani kukomaa na vyura kama mlivyokomaa kwa Mamelodi alipopangwa na Yanga mkaacha shughuli zenu na kuumbuka kwa kipigo kitakatifu. Msipojifunza kujali ya kwenu mnapoteza kila sehemu msimu huu.Huu msimu burudani ni moja tu. Kuwatazama vyura wakikabidhiwa kombe la kufa kiume kwa malalamiko mno. Ngoja nikatazame tena ile mechi.
Haiwezi kubadili loloteNaona katoa Uzi kwemye Live ulikuwa umeandikwa Simba 5 na Mashujaa 6 FT..
Katoa hiyo mada na kaandika Live simba imetolewa [emoji28][emoji28]
Hamja tuachia mmetolewaIEe mm niko live mbona?? Tumewaachia kombe mshindwe wenyewe
🤣🤣👋👋👋👋👋👋Baba Jeni bai bai
Kwani semaji linasemaje😅Mo- day, hi mechi ya leo ni dedication kwa Mo- boss mkubwa, anayetoa fedha za usajili kwa Try-again na genge lake wakasajili wao wanaokoto magalasha yaaliyoachwa na timu zinazoshuka daraja , wanapiga cha juu na kututangazia wachezaji usiku wa manane[masharti ya mganga]
Nasikia timu yako imetoka kiume huko Kigoma. Sasa mtawekeza nguvu zote kuchukua ubingwa wa ligi kuu, au kale ka ngao ka jamii kamewatosha?Mnyama akipigwa leo itakua faraja sana kwa UtoMasandawane...
Penati imeisha ngapi ngapi?Mashujaa wamemtoa Makolo kwa Mara nyingine tena kombe la Fa .
Ali salum hakugusa Hata penati moja
Tatizo sio Try again ni nyie mashabiki mnapumbazwa na vitu vidogoVyura wanavyopenda sifa watatumalizia hasira za yule refa aliyewachezesha na Mamelodi... na sisi hasira zetu tukazimalizie kwa kina Try Again.
Msimu umeisha tayari hatuna kazi tena
🤣🤣🤣🤣🤣 ila umenichekeshaWana Siiiiiiimbaaaaaaaaaa
Twafwaaaaaaa.....
Inakuwaje mnasajili wachezaji zaidi ya 20 kwa mbwembwe, halafu kila mechi wanacheza wachezaji wale wale!!Timu imechoka sana hakuna morali kabisa yani Simba iko hoi yani ni aibu sana