FT: Mashujaa 1-1 Simba SC | | Simba waondolewa Shirikisho kwa matuta (6-5) | Tarehe 9/4/2024

Bado mpk leo tunawashangilia masandawana...
 
Huu msimu burudani ni moja tu. Kuwatazama vyura wakikabidhiwa kombe la kufa kiume kwa malalamiko mno. Ngoja nikatazame tena ile mechi.
Endeleani kukomaa na vyura kama mlivyokomaa kwa Mamelodi alipopangwa na Yanga mkaacha shughuli zenu na kuumbuka kwa kipigo kitakatifu. Msipojifunza kujali ya kwenu mnapoteza kila sehemu msimu huu.
 
Mashujaa wamemtoa Makolo kwa Mara nyingine tena kombe la Fa .
Ali salum hakugusa Hata penati moja
 
Kwani semaji linasemajeπŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…