Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Panya weee hatufiiiAhahaaaaa....! Pole sana. Hiyo timu itakuua hiyo weweee. Nyau weee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Panya weee hatufiiiAhahaaaaa....! Pole sana. Hiyo timu itakuua hiyo weweee. Nyau weee
Acha ujinga wa kindezi😊Kupigiwa nje ndani ndo ubora kwa mbumbumbu fc!😀😀
Umeona ee nadhani tunaanza kuielewa timu yetu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo cna wala hata presha, japo tumetokaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatuna haraka ya maisha kabisaa.Kwahiyo mnapambana na kikosi chenu mpk kiwatoe roho?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
HaswaaaaaUmeona ee nadhani tunaanza kuielewa timu yetu...
Udugu leo ulikuwa wapi?? Kuna sehemu nilipita nikaona wanakuteta 😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatuna haraka ya maisha kabisaa.
Kumbe mnakaa mtaa mmoja au umekuta wanamteta mitaa ya hapa JF? 🤣 🤣 🤣Udugu leo ulikuwa wapi?? Kuna sehemu nilipita nikaona wanakuteta 😂😂😂
Kalpana we sema unataka kujua ni wapi ili ukaone 🤣🤣🤣🤣Kumbe mnakaa mtaa mmoja au umekuta wanamteta mitaa ya hapa JF? 🤣 🤣 🤣
Natamanijee kama unavyojua umbea suna best... 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Kalpana we sema unataka kujua ni wapi ili ukaone 🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂 Subiri aje twendeni wote mkaoneNatamanijee kama unavyojua umbea suna best... 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Nsubiria hapa.... 😆😂😂😂😂 Subiri aje twendeni wote mkaone
Hapo atakuja kesho 😂😂😂Nsubiria hapa.... 😆
Coca mwenyewe kajikausha kama hayupo
Akija mtanishtua twendeni wote huo mtaa wa kijiwe nongwa...hahahahHapo atakuja kesho 😂😂😂
Na mimi kesho sipo..!! Naenda zangu kula eid
Tuliza kalio mbumbumbuAcha ujinga wa kindezi😊
Tushafika kitambo 🤣🤣🤣Akija mtanishtua twendeni wote huo mtaa wa kijiwe nongwa...hahahah
Hapana Mkuu.Sio wewe kweli?