winston20
JF-Expert Member
- Jun 21, 2020
- 1,116
- 2,303
[emoji849]Furaha haikosekani, Mfano msimu huu Simba imefanya vibaya ila Vyura fc wamechukua kombe lao la 1 la kufa kiume kwa malalamiko kweli. Sasa hilo tukio ni burudani tosha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji849]Furaha haikosekani, Mfano msimu huu Simba imefanya vibaya ila Vyura fc wamechukua kombe lao la 1 la kufa kiume kwa malalamiko kweli. Sasa hilo tukio ni burudani tosha.
Hata Mamelodi amewahi kumkanda Al Ahly 5, tena mara mbili Miaka ya hivi karibuni, ila bado Al Ahly ndio timu namba moja kwa ubora AfrikaMlipigwa 5 usijisahaulishe
Ahahaaaaa....! Pole sana. Hiyo timu itakuua hiyo weweee. Nyau weeeKenge mwenyewe...unaumwa nini? Chura mwenye mayai wee
Kwa hiyo?Lakini mashujaa kumfunga simba hua ni kawaida sana
Dah kweli Mangungu ana haki yakuwageuza kama chapatiKitendo cha Yanga kufurushwa na masandawana, bas mie roho kwatuuu, sio kutolewa leo? Hata kutochukua ubingwaa, cna shida kabisaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatuna wa kumfukuza, sio shida zetu kabisaa.[emoji23][emoji23][emoji23] Yanga tulishinda ila makolo sasa dah!!
Kwahiyo mnamfukuza nani??
Relaaaaaaxxxxxx!!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah kweli Mangungu ana haki yakuwageuza kama chapati
Kupigiwa nje ndani ndo ubora kwa mbumbumbu fc!😀😀Ukiangalia walivyo cheza na ahly walikua Bora zaidi..
Hii Simba inacheza na MASHUJAA Tena wakiwa pungufu na wanashindwa kupata matokeo ??
Kwahiyo mnapambana na kikosi chenu mpk kiwatoe roho?? 🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatuna wa kumfukuza, sio shida zetu kabisaa.