FT: Mashujaa 1-1 Simba SC | | Simba waondolewa Shirikisho kwa matuta (6-5) | Tarehe 9/4/2024

FT: Mashujaa 1-1 Simba SC | | Simba waondolewa Shirikisho kwa matuta (6-5) | Tarehe 9/4/2024

Kiko wapi mbumbumbu mjadala wa yanga hawajui kupiga penalty bado upo????
 
Ukishabikia sana Simba na Yanga kichwani zinapungua Lazima.

KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMERUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....

MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.

MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
 
Kesho nasherehekea Eid el fitr lakini pia nasherehekea kipigo Cha mbwa Koko mwizi alichopigwa Simba na Mashujaa.
Simba ametolewa kwenye hatua za mwanzo kabisa.
 
Kitendo cha Yanga kufurushwa na masandawana, bas mie roho kwatuuu, sio kutolewa leo? Hata kutochukua ubingwaa, cna shida kabisaaa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dah kweli Mangungu ana haki yakuwageuza kama chapati
 
Ukishabikia sana sana Simba na Yanga kichwani lazima zanaanza zinapungua.

KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZAO ZIMERUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....

MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.

MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
 
Simba walionekana wapo hoi, safari ndefu - hawa wanaopanga ratiba ni waonevu. Wafurahie sasa Simba katoka walivyotaka
 
Simba mzee akishindwa kuwinda anategea vijana wawinde ili yeye akale asife njaa.

Simba asha zeeka bado kufa tuu na njaa ni kitendo cha muda wasipo fanya mabadiliko haraka
 
Mapigo Na Mwendo.
1000073964.jpg
 
Back
Top Bottom