Panya weee hatufiiiAhahaaaaa....! Pole sana. Hiyo timu itakuua hiyo weweee. Nyau weee
Acha ujinga wa kindeziπKupigiwa nje ndani ndo ubora kwa mbumbumbu fc!ππ
Umeona ee nadhani tunaanza kuielewa timu yetu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo cna wala hata presha, japo tumetokaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatuna haraka ya maisha kabisaa.Kwahiyo mnapambana na kikosi chenu mpk kiwatoe roho?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
HaswaaaaaUmeona ee nadhani tunaanza kuielewa timu yetu...
Udugu leo ulikuwa wapi?? Kuna sehemu nilipita nikaona wanakuteta πππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatuna haraka ya maisha kabisaa.
Kukosa ajira si kikwazo kwako Ila Simba na Yanga kufungwa ni unakwazika basi we ni kama nguruwe tuπ
Kumbe mnakaa mtaa mmoja au umekuta wanamteta mitaa ya hapa JF? π€£ π€£ π€£Udugu leo ulikuwa wapi?? Kuna sehemu nilipita nikaona wanakuteta πππ
Kalpana we sema unataka kujua ni wapi ili ukaone π€£π€£π€£π€£Kumbe mnakaa mtaa mmoja au umekuta wanamteta mitaa ya hapa JF? π€£ π€£ π€£
Natamanijee kama unavyojua umbea suna best... π€£ π€£ π€£ π€£ π€£Kalpana we sema unataka kujua ni wapi ili ukaone π€£π€£π€£π€£
ππππ Subiri aje twendeni wote mkaoneNatamanijee kama unavyojua umbea suna best... π€£ π€£ π€£ π€£ π€£
Nsubiria hapa.... πππππ Subiri aje twendeni wote mkaone
Hapo atakuja kesho πππNsubiria hapa.... π
Coca mwenyewe kajikausha kama hayupo
Akija mtanishtua twendeni wote huo mtaa wa kijiwe nongwa...hahahahHapo atakuja kesho πππ
Na mimi kesho sipo..!! Naenda zangu kula eid
Tuliza kalio mbumbumbuAcha ujinga wa kindeziπ
Tushafika kitambo π€£π€£π€£Akija mtanishtua twendeni wote huo mtaa wa kijiwe nongwa...hahahah
Hapana Mkuu.Sio wewe kweli?