FT: Mashujaa 1-1 Simba SC | | Simba waondolewa Shirikisho kwa matuta (6-5) | Tarehe 9/4/2024

FT: Mashujaa 1-1 Simba SC | | Simba waondolewa Shirikisho kwa matuta (6-5) | Tarehe 9/4/2024

Haya ndo mambo yanatakiwa ili wale kina Try Again, Mo, na Mangungu wa msovero wakiambiwa timu mbovu waelewe.
 
Ok, miti inaendelea kuteleza, but we'll come stronger next year.
 
Sasa ngoja tubaki wapenzi watazamaji...
Huu msimu burudani ni moja tu. Kuwatazama vyura wakikabidhiwa kombe la kufa kiume kwa malalamiko mno. Ngoja nikatazame tena ile mechi.
 
Huu msimu burudani ni moja tu. Kuwatazama vyura wakikabidhiwa kombe la kufa kiume kwa malalamiko mno. Ngoja nikatazame tena ile mechi.
Yani ndo kero kwao zitazidi maana hatuna cha kupoteza mechi zao tutawapa kampani kuanzia dkk ya kwanza..
 
Tunajiaandaa na Tarehe 20 mkuu Mechi ya Utomasandawana
Upo uwezekano mwakani msishiriki international games.

Nafasi ya Kwanza hii mmeitema, je kwenye ligi mtaweza kushindana na Azam mpate nafasi ya Pili?

Mna mechi na Yanga na mna mechi na Azam, hapo ndio akili zitawarudia, wakati mnashabikia Mamelodi tuliwakumbusha mfocus kwenye timu yenu hamkashupaza shingo, haya Kiko wapi sasa?
 
Back
Top Bottom