FT: Mashujaa 1-1 Simba SC | | Simba waondolewa Shirikisho kwa matuta (6-5) | Tarehe 9/4/2024

FT: Mashujaa 1-1 Simba SC | | Simba waondolewa Shirikisho kwa matuta (6-5) | Tarehe 9/4/2024

Ratiba ya mazishi ya marehemu Kolo Ubuntu 5imba Botho.
Marehemu atasafirishwa kwa ndege kwenda Dar usiku huu na atafikia nyumbani kwa Baba yake ndugu Mangungu,wakati wakiwa hapo nyumbani msimamizi wa shughuli zote atakuwa kispika Ahmed Ally,mazishi yatafanyika rasmi mnamo tarehe 20 April saa 11 jioni pale Chang'ombe Benjamin Mkapa Stadium.
 
Simba ni kama wanahujumiana hivi. Kuna jambo haliko sawa ndani ya timu, na hawataki kulisema
 
FB_IMG_17126778184540205.jpg

🤣🤣🤣🤣🤣👈
 
Dk ya 5 Simba huwa wanatoa utelezi pyeeeew

Aly Ahly dk 5
Mashujaa dk 5
.... Kipele Cha Simba kipo dk ya 5 na trh 20 tutakikunia dk hizihizi[emoji28][emoji1787][emoji118]
Na ile 1-5 Musonda alikuna kwenye dakika hizo hizo.
 
Hapo trh 13 ana Mamba stars... Mwigulu kama vipi sema tuchange kabisa motisha ya wachezaji uwiiiiii🤣🤣🤣🤣👈
 
Upo uwezekano mwakani msishiriki international games.

Nafasi ya Kwanza hii mmeitema, je kwenye ligi mtaweza kushindana na Azam mpate nafasi ya Pili?

Mna mechi na Yanga na mna mechi na Azam, hapo ndio akili zitawarudia, wakati mnashabikia Mamelodi tuliwakumbusha mfocus kwenye timu yenu hamkashupaza shingo, haya Kiko wapi sasa?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Dr unakera sna
 
Nasikia timu yako imetoka kiume huko Kigoma. Sasa mtawekeza nguvu zote kuchukua ubingwa wa ligi kuu, au kale ka ngao ka jamii kamewatosha?
Walikwenda Kigoma na nywele kichwani sasa wanarudi Msimbazi na vipara!😭😵🤭
 
Back
Top Bottom