FT: Mashujaa FC 0-0 Azam FC | NBC Premier League | Lake Tanganyika Stadium | 29.09.2024

Kuna yule msemaji wao Hashim Imbwe ni kama amekulia kwa P Diddy.Kajinga kajinga ni kashabiki ka nyuma mwiko na kila kakisema utadhani kamechukuliwa bwana
 
Ni kweli,Mwaka Jana walikua Bora sana kuzidi Mwaka huu. Azam wanaresource uwanja,pesa Ipo haingii akilini kulizika kwa mwenendo huuu... Walipaswa kua title contender, CL wangefika angalau second stage.
Hawa mabwana sijui wana shida gani aisee. Watake nini tajiri asitoe.

Msimu huu afisa habari wao alisema walisajiri mpaka mpunga ukabaki wakaurudisha kwa tajiri, kama pesa ya usajiri ipo, changamoto ndogondogo hawana na hawana presha kubwa ya mashabiki.
Kipi kinawafelisha hawa watu??
 
Mimi nafikiri ni uongozi Hawana njaa ya mafanikio. Ujue Simba ya Sasa Haina wachezaji wengi mahili Sanaa lakini pressure ya viongozi na mashabiki huwafanya Kila mchezaji atumie energy yake yotee Ili atengeneze Heshima ndani ya club,Hiki kinakosekana kwa Azam.
Hawa mabwana sijui wana shida gani aisee. Watake nini tajiri asitoe.

Msimu huu afisa habari wao alisema walisajiri mpaka mpunga ukabaki wakaurudisha kwa tajiri, kama pesa ya usajiri ipo, changamoto ndogondogo hawana na hawana presha kubwa ya mashabiki.
Kipi kinawafelisha hawa watu??
I
 
Nikijipima Akili zangu nikiwa ndie kiongozi wa Maamuzi Azam FC msimu huohuo inachukua ubingwa TPL. Mtu kama J Lomalisa, natafuta beki Kongo huko naviungo wa kufia uwanjani alafu nawapa misimamo yangu ya ushindiii mbona Watakubali raia.
 
Kuna yule msemaji wao Hashim Imbwe ni kama amekulia kwa P Diddy.Kajinga kajinga ni kashabiki ka nyuma mwiko na kila kakisema utadhani kamechukuliwa bwana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna yule msemaji wao Hashim Imbwe ni kama amekulia kwa P Diddy.Kajinga kajinga ni kashabiki ka nyuma mwiko na kila kakisema utadhani kamechukuliwa bwana
Kanapenda kuisema simba wakati simba sio matawi yao.
 
Back
Top Bottom