FT: Mashujaa FC 0-0 Azam FC | NBC Premier League | Lake Tanganyika Stadium | 29.09.2024

FT: Mashujaa FC 0-0 Azam FC | NBC Premier League | Lake Tanganyika Stadium | 29.09.2024

Sijui ni nini kinaendelea kuna zogo kidogo hapa
 
Shida ya Azam ni uongozi

Timua management yote ambayo kuna wazawa leta foreigners wakabidhi timu afu sikilizia matokeo.

Bila hivyo sidhani kama naiona Azam naiona iliyokuwa na consistency.
 
Dakika 82
Tunapata Free kick nje kidogo ya 18.
Ngoja tuone inakuwaje.
Imepigwa vizuri imetoka nje
 
Shida ya Azam ni uongozi

Timua management yote ambayo kuna wazawa leta foreigners wakabidhi timu afu sikilizia matokeo.

Bila hivyo sidhani kama naiona Azam naiona iliyokuwa na consistency.
Hata Mashujaa ni timu nzuri kwa sasa
 
Dakika 89'
0-0
Mpira unaendelea ni piga nikupige
 
Bodi ya ligi waangalie Dakika za Nyongeza, zinaongezwa chache sana kulingana na muda mpira uliposimama
 
Poor leadership,mwenye maamuzi ndani ya Azam uwezo wake ni mdogo Sanaa kiuongozi. Timu Haina malengo inaleta wachezaji kwa kuzoooa,Ali ya upapanaji haipo!! Imagine Baki zake zile hovyo sana, washambuliaji hovyo kabisa angalau uhai ni kati.
 
Back
Top Bottom