FT: Mashujaa FC 0-0 Azam FC | NBC Premier League | Lake Tanganyika Stadium | 29.09.2024

Tembosa

heshma kwako kwa kuleta matangazo haya live humu jf

zngatia kuweka dakika ya ngapi na tukio gani limefanyika au kwenda upande wa timu gani. Itapendeza na ukataja jina la mchezaji. Pia usisahau kuweka na uchambuz yakinifu kila muda.
asante studio
Asante mkuu
 
Weka uzi live
 
Mwaikenda anapata kadi ya Njano.
Anagombana na Refa ree
 
Tunapata free kick nje kidogo ya 18.
 
Back
Top Bottom