FT: Mashujaa FC 0-0 Azam FC | NBC Premier League | Lake Tanganyika Stadium | 29.09.2024

Ngoja nitoke hapa nikimbilie dodoma sasa nikamtazame Mnyamaaa.
 
Poor leadership,mwenye maamuzi ndani ya Azam uwezo wake ni mdogo Sanaa kiuongozi. Timu Haina malengo inaleta wachezaji kwa kuzoooa,Ali ya upapanaji haipo!! Imagine Baki zake zile hovyo sana, washambuliaji hovyo kabisa angalau uhai ni kati.
Ila ka maintain angalau kwenye top 3 na msimu uliopita kaonja top 2 mnyonge mnyongeni haki yake apewe sio rahisi kuwaondoa Simba na yanga hapo juu acha aendelee kujitafuta
 
20240929_181725.jpg
 
Ila ka maintain angalau kwenye top 3 na msimu uliopita kaonja top 2 mnyonge mnyongeni haki yake apewe sio rahisi kuwaondoa Simba na yanga hapo juu acha aendelee kujitafuta
Ni kweli,Mwaka Jana walikua Bora sana kuzidi Mwaka huu. Azam wanaresource uwanja,pesa Ipo haingii akilini kulizika kwa mwenendo huuu... Walipaswa kua title contender, CL wangefika angalau second stage.
 
Ni kweli nadhani kitu kimewaangusha msimu huu ni scouting
Wajitahidi sana kwenye Hilo eneo na pia inaonekana wachezaji morali imeshuka sana
 
Back
Top Bottom