Mrao keryo
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 1,901
- 2,566
KivipiIla Simba tunasafari ndefu sana
Yaani dakika 20 tu timu Ina goli moja mbele, lakini bado unaishutumu! Utopolo kuweni serious basiIla Simba tunasafari ndefu sana
Sisi Simba hatuna safari fupi za kutoa suluhu na vitimu kama Kagera safari yetu bado ni ndefu tunaongoza moja na hapa tunataka goli 4Ila Simba tunasafari ndefu sana
Nimekuja hapa baada ya TV yangu kuzimika huku boli ndio likiwa dk ya 10 tu πUmeme nahisi ni Tanzania nzima
Huyu Fred anatakiwa kuchangamka
TushawakandaKila la kheri Mashujaa πππ
View attachment 2893003