FT: Mashujaa FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Lake Tanganyika Stadium | 03.02.2024

FT: Mashujaa FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Lake Tanganyika Stadium | 03.02.2024

Natamani kuona FRED na CHAMA kwa pamoja, kabla sija- conclude...
 
Mnajiita mashujaa halafu mnafungwa kizembe. Wapuuzi sana mnafanya huu uzi tuupite kama kituo cha polisi
 
Uwezekano wa madogo kuchomoa upo kweli?
Ngumu sana.
Hawajui mpira kabisa.

yaani Simba wakitumia akili kidogo tu.
Hawa Mashujaa watakula nyingi.

Kwanza wanamabeki wasiojua kukaba.

Fred ambaye anacheza kama Straiker ni anakuwa peke yake mara nyingi.
Utulivu wa Mzamiru, Kanoute na Saidoo utaleta goli nyingi.

Kwa kifupi hiki kipindi cha kwanza Simba wametawaliwa na ka ubinafsi
 
Nimekuja hapa baada ya TV yangu kuzimika huku boli ndio likiwa dk ya 10 tu 😏

Tanesco ni wehu wehu wehu wehu kabisa kabisa kabisaaa
Duh! Hapa nilipo ndo mpira ulikuwa unataka kuanza tu wakakata.

Wengi hapa wamelalamika inawwzekana ni nchi nzima.

Nchi ya kipumbavu sana hii. Nchi nzuri watu hovyo. Na tunawalipa misahara kwa kodi zetu na mavieite.
 
Tukiwa mapumziko tupate wadhamini kidogo

Screenshot_20240203_165700_Gallery.jpg
 
Ngumu sana.
Hawajui mpira kabisa.

yaani Simba wakitumia akili kidogo tu.
Hawa Mashujaa watakula nyingi.

Kwanza wanamabeki wasiojua kukaba.

Fred ambaye anacheza kama Straiker ni anakuwa peke yake mara nyingi.
Utulivu wa Mzamiru, Kanoute na Saidoo utaleta goli nyingi.

Kwa kifupi hiki kipindi cha kwanza Simba wametawaliwa na ka ubinafsi
Mkuu unaposema Hawajui mpiran na goal za movement kwa Simba hatuzion unamaanisha nn.
 
Kwa huu uchezaji wetu.
Tunaweza kuwa na wakati mgumu kidogo tukikutana na wale Vijana wa Tabora United.
wakamiaji.
 
Bado SIMBA ina- strugle namna ya kutengeneza CHANCES..
MZAMIRU, KONOUTE na SAIDOO wote wanakimbia wakiwa wanaangalia chini
Mashujaa vipi, wametengeneza za kutosha?
 
Back
Top Bottom