FT: Mashujaa FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Lake Tanganyika Stadium | 03.02.2024

Ngapi huko?
Naomba kwa wanaoangalia Mpira,Simba wamebadilika au bado ni papatu papatu??

Saidoo Je,kabadilika au ni yaleyale?Natanguliza shukran.Maana hii timu yangu hainipi matumaini ya kutembea kifua mbele kabisa yani
 
Ile iliyocheza Jana inakukuna vilivyo....

pathetic
 
Benchika fanya Sub.
toa Saido haraka
 
UMEME UMEKUA TATIZO SASA
IMG-20240202-WA0013.jpg

Tumeambiwa tuwe wapole
 
Huu moto wanaopelekewa Simba tutarajie lolote muda wowote.
 
Hii ndio Tanzania, na hatuna cha kuwafanya😥
 
Back
Top Bottom