Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamnamo mchezaji humoNi mzito...
Mbele gani unataka zaidi ya CAF CL?Bado SIMBA haina falsafa ninayoilewa....kama team ndogo kama hizi simba inakosa spidi ya kuingia ktk 18, ...haiwezi kufungua defence kwa haraka....cjui huko mbeleni kwa wakubwa wenzie...
Amesafiri na team!???Mwenezi wa CCM yuko anacheki ball
Kwa nini?Hivi Simba wakati wa kusajili huwa wamefumba macho?
Mechi za ugenini huwa ni ngumu sana. Kucheza vizuri ni pamoja na kulinda ulicho nacho.Ushindi wowote sawa tu.
Usikariri mechi, angalia kinachotokea kwa wkt huu..Kamuulize Wydad
Kwa nini?
Kwani Mashujaa wana tofauti gani na Kagera Sugar hadi wao ushangae kufungwa moja na SimbaUsikariri mechi, angalia kinachotokea kwa wkt huu..
Hawa mashujaa wangepata utulivu wangeshapata bao....
Kusajili wachezaji wakubwa, kocha mkubwa, facilities nzuri tunategemea SIMBA ktk PITCH pawe na class na standard..
Si kwamba mashujaa wanacheza defence sana, ila ukiacha penalty, ni move ipi simba wamecheza ktk ushambuliaji..?
Kuna kautoto kapo Simba. Ndio katasababisha tusiupate ubingwa mwaka huu wakati nafasi tunayo.Simba yangu ni basi tu, Mashujaa wangekuwa na utuluvu tungeshaumia mpaka sasa. Kipindi cha pili kimekuwa cha moto mno