DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Ligi kuu ya NBC inaendelea leo kwa michezo miwili muhimu. mchezo wa kwanza utazikutanisha Singida Black Stars na Mashujaa FC majira ya saa 14:00 mchana. baada ya hapo, kutakuwa na mtanange mkubwa kati ya Mbeya city dhidi ya Yanga, ukiwa ni mchezo wa pili kwa yanga na wa kwanza wakiwa ugenini. mchezo huo utapigwa saa 16:15 jioni kwa saa za afrika mashariki.
Kikosi cha Yanga kinachoanza dhidi ya Mbeya City
Kikosi cha Mbeya City kinachoanza dhidi ya Yanga
Dakika ya 7
Yanga wanafanya shambulizi la hatari
Dakika ya 16
Mbeya city wanapata kona ya kwanza
Dakika ya 18
Yanga wanapata kona ambayo haina faida
Dakika ya 27
Kona nyingine kwa yanga
Dakika ya 28
Kona kwa yanga tena
Dakika ya 30
Mbeya city 0-0 Yanga
Dakika ya 42
Kona kwa Yanga
HALF TIME
Mbeya city 0-0 Yanga
Kipindi cha pili kimeanza
Mbeya City 0-0 Yanga
Dakika ya 61
Mbadiliko kwa yanga anatoka Doumbia anaingia Ecua
Dakika ya 68
Anatoka Max anaingia Kouma
anatoka Duke anaingia Edmund John
Dakika ya 80
Anatoka Israel Mwenda anaingia Prince Dube
Dakika ya 86
Mbeya City 0-0 Yanga
FT
Mbeya City 0-0 Yanga
Kikosi cha Yanga kinachoanza dhidi ya Mbeya City
Kikosi cha Mbeya City kinachoanza dhidi ya Yanga
Dakika ya 7
Yanga wanafanya shambulizi la hatari
Dakika ya 16
Mbeya city wanapata kona ya kwanza
Dakika ya 18
Yanga wanapata kona ambayo haina faida
Dakika ya 27
Kona nyingine kwa yanga
Dakika ya 28
Kona kwa yanga tena
Dakika ya 30
Mbeya city 0-0 Yanga
Dakika ya 42
Kona kwa Yanga
HALF TIME
Mbeya city 0-0 Yanga
Mbeya City 0-0 Yanga
Dakika ya 61
Mbadiliko kwa yanga anatoka Doumbia anaingia Ecua
Dakika ya 68
Anatoka Max anaingia Kouma
anatoka Duke anaingia Edmund John
Dakika ya 80
Anatoka Israel Mwenda anaingia Prince Dube
Dakika ya 86
Mbeya City 0-0 Yanga
Mbeya City 0-0 Yanga