Mbona mapema kulalamika kumeanza?Tena refa kawabeba Ibrahim Bacca kampiga Ame teke mbele ya Refa.Au Arajiga na Kayoko leo walikuwa wagonjwa?Hata makocha wapya walivyokuja wakakuta wachezaji wapya, bado timu haikucheza hivi. Mapungufu ni mengi mno, uwezo wa upigaji wa pasi sahihi umeshuka, pasi zinazopigwa zina tabirika kirahisi sana na wachezaji wa timu pinzani, ubunifu umeshuka huoni kama wachezaji ni professional pamoja na wachezaji wengi wa msimu uliopita kuwepo lakini ni kama wote wamekuwa wageni.