FT Mbeya City 0-0 Yanga |NBC Premier League| Sokoine Stadium Mbeya| September 30, 2025| Saa 16:15 Jioni

🔥🔥🔥🔥 wakoma kumwanya
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Timu ipo stable unamuondoa kocha,timu ina mabadiliko madogo still ukiangalia mpira huu na msimu uliopita mechi za mwishoni haikucheza hivi.
Formula ya kocha mpya kumpa muda, je uvumilivu huo mashabiki na viongozi tunao. Yaani kulikuwa hamna haja ya kumuondoa kocha, sababu tayari timu ilikuwa inflow nzuri.
 
Hivi kocha aliondolewa au aliondoka?
 
Timu ipo stable unamuondoa kocha,timu ina mabadiliko madogo still ukiangalia mpira huu na msimu uliopita mechi za mwishoni haikucheza hivi.
Formula ya kocha mpya kumpa muda, je uvumilivu huo mashabiki na viongozi tunao. Yaani kulikuwa hamna haja ya kumuondoa kocha, sababu tayari timu ilikuwa inflow nzuri.
Hata makocha wapya walivyokuja wakakuta wachezaji wapya, bado timu haikucheza hivi. Mapungufu ni mengi mno, uwezo wa upigaji wa pasi sahihi umeshuka, pasi zinazopigwa zina tabirika kirahisi sana na wachezaji wa timu pinzani, ubunifu umeshuka huoni kama wachezaji ni professional pamoja na wachezaji wengi wa msimu uliopita kuwepo lakini ni kama wote wamekuwa wageni.
 
Ktk first eleven ya Yanga kuna mabadiliko ya wachezaji wangapi? Hamna wachezaji wanacopi kile akitakacho kocha. Msimu uliopita pamoja na Ki kuondoka bado timu ilikuwa inacheza vizuri, tena sana. Mchezaji wa first eleven aliye ondoka ni Aucho peke yake na Aucho hata kipindi kile akiumia timu bado inacheza vizuri. So kumuondoa yule kocha ilikuwa kosa na hili nililiona.
 
Hata makocha wapya walivyokuja wakakuta wachezaji wapya, bado timu haikucheza hivi. Mapungufu ni mengi mno, uwezo wa upigaji wa pasi sahihi umeshuka, pasi zinazopigwa zina tabirika kirahisi sana na wachezaji wa timu pinzani, ubunifu umeshuka huoni kama wachezaji ni professional pamoja na wachezaji wengi wa msimu uliopita kuwepo lakini ni kama wote wamekuwa wageni.
Daah nna hasira sana na huyu tapeli feruzi.

Ameua kila kitu.

Anachotegemea ni kusubiri mchezaji mmoja mmoja aamue matokeo na sio mfumo wa timu.

Wachezaji wamekua wavivu wako very slow.

Pasi nyingi zinazopigwa ni pasi mkaa.

Wachezaji kutokaa kwenye nafasi kupokea mipira kuendeleza transition.

Hatueleweki mpaka sasa tunacheza mfumo gani.

Timu inajiendea endea tu kwa sababu wachezaji wanaweza kupeleka mipira mbele bila ya kuwa na mipango ya kueleweka.
 
Hata makocha wapya walivyokuja wakakuta wachezaji wapya, bado timu haikucheza hivi. Mapungufu ni mengi mno, uwezo wa upigaji wa pasi sahihi umeshuka, pasi zinazopigwa zina tabirika kirahisi sana na wachezaji wa timu pinzani, ubunifu umeshuka huoni kama wachezaji ni professional pamoja na wachezaji wengi wa msimu uliopita kuwepo lakini ni kama wote wamekuwa wageni.
Hali ni mbaya sana aisee
 
Screenshot_20250930-183515_Facebook.jpg
 
Back
Top Bottom