Kwa hiki kikosi alichoanza nacho, binafsi sina lawama kwa kocha Romain Folz. Amejitahidi kupanga timu nzuri na iliyo balance.Kikosi cha leo, kwa jinsi mwenendo ulivyo mpaka sasa Boka ni mchezaji mwenye uhakika wa namba kwa kocha Folz kwa upande wa mabeki.
hydroxo leo ni siku ya kuona kama kuna mabadiliko ya kutufanya tuwe na imani na kocha kwenye mechi za makundi klabu bingwa ama lahView attachment 3481313
Huu uwanja wa Sokoine Mbeya una matokeo magumu sana kwa timu ya Wananchi inapocheza dhidi ya Mbeya City. Mara nyingi sare ndiyo zinatawala.Huenda ikaonekana ni gane gumu upande wa Young Africans ila niwahakikishie tuna kwenda kushinda hii mechi goli zaidi ya moja na pungufu ya 4
Hizi lawama nyingine hazina kichwa wala miguu. Ungekuwa unaufahamu vizuri uwanja wa Sokoine Mbeya namna ulivyo mbovu kwenye eneo la kuchezea, hata usingeilaumu timu.Yanga hii haina Tofauti na Ile Yanga ya Papaa Mwinyi Zahera, Yani hili ni pira mataputapuš®
Sawa kapanga vizuri kwa mtazamo wako, vipi tathmini yako katika mbinu zake na mfumo wa uchezaji katika kipindi cha kwanza?Kwa hiki kikosi alichoanza nacho, binafsi sina lawama kwa kocha Romain Folz. Amejitahidi kupanga timu nzuri na iliyo balance.
Uwepo wa Mohamed Doumbia pia eneo la katikati unasaidia sana kwenye utulivu wa timu.
Mechi ya Mbeya City dhidi ya Yanga kwenye uwanja wa Sokoine, haijawahi kuwa nyepesi. Historia inaonesha hivyo! Kwa hiyo kwenye hii mechi ya leo, mimi nawaomba tu mumsamehe kocha Romain Folz. Mechi dume hii.Sawa kapanga vizuri kwa mtazamo wako, vipi tathmini yako katika mbinu zake na mfumo wa uchezaji katika kipindi cha kwanza?