Huu uwanja ni majanga...hakuna uwanja hapa labda tutumie nafsi za shots tofauti na hapoHuu uwanja wa Sokoine Mbeya una matokeo magumu sana kwa timu ya Wananchi inapocheza dhidi ya Mbeya City. Mara nyingi sare ndiyo zinatawala.
Huu uwanja wakati wa masika huwa unageuka kuwa kama majaruba ya mpunga. Kwa hali hii usitegemee wachezaji wacheze kwa utulivu. Pitch yake ina matuta matuta ambayo hayaonekani kwa urahisi.Huu uwanja ni majanga...hakuna uwanja hapa labda tutumie nafsi za shots tofauti na hapo
Haaahaa π π π πRefa anatakiwa kutumia busara ndogo ya kuwapa yanga penalt ili wasigombane baadae baada ya game.
Msipobebwa hamna kituHii yanga mbona ishaanza kutia mashaka ππππ
Hili jamaa linaangalia marudio ya msimu uliopitaNaona Mbeya City wanapelekewa pumzi ya moto hapa. Kosa kosa za kutosha zimetokea ndani ya hiki kipindi cha pili.