FT Mbeya City 0-0 Yanga |NBC Premier League| Sokoine Stadium Mbeya| September 30, 2025| Saa 16:15 Jioni

Mbona mapema kulalamika kumeanza?Tena refa kawabeba Ibrahim Bacca kampiga Ame teke mbele ya Refa.Au Arajiga na Kayoko leo walikuwa wagonjwa?
 
Simba akitoka droo na Gaborone bingwa wa Botswana mbovu leo Uto katoa droo na Mbeya City bingwa wa Mbeya.Nawangoja wachambuzi. Gongowazi hawana subira ngojea tangazo kwa umma soon.
 
Mbona mapema kulalamika kumeanza?Tena refa kawabeba Ibrahim Bacca kampiga Ame teke mbele ya Refa.Au Arajiga na Kayoko leo walikuwa wagonjwa?
Tui la nazi tulia usije ukakatika. Fuatilia vizuri utaona kuna members ambao tokea Yanga icheze mechi yake ya kwanza japo alikuwa anashinda ila tulikuwa tunaona mapungufu na tulikuwa tunalalamika tokea awal. Siwezi kiwataja wote ila hydroxo nikiwa nae sambamba.
 
Yanga badoyupo vizuri haina shida hii
Yani watu wanajadili bila kukubali ubora wa Mbeya City. Nao wanapaswa kupewa Kongole, wamecheza kwa Nidhamu kubwa.

Wamehakikisha hakuna mianya kwa wachezaji hatarishi kama Pacome.
 
Twenden tukaungane na Ngara kule jukwaa la Siasa..ni mwana yanga ila kweny suala la kuipiga spana serikali dhalimu yuko poa sanaa
 
Huenda ikaonekana ni gane gumu upande wa Young Africans ila niwahakikishie tuna kwenda kushinda hii mechi goli zaidi ya moja na pungufu ya 4
Sheikh Yahya vipi?
 
Simba akitoka droo na Gaborone bingwa wa Botswana mbovu leo Uto katoa droo na Mbeya City bingwa wa Mbeya.Nawangoja wachambuzi. Gongowazi hawana subira ngojea tangazo kwa umma soon.
Na vipi Kolo akikutana na Mume wake (Young Africans) anavulia chupi kibarazani kuelekea chumbani🤣🤣🤣🤣
 
S asa hivi Yanga inagombania nafasi ya nne chini ya Singda BS, Azam FC, na Simba FC labda izifunge timu hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…