Kiukweli umeumia sana na muda si mrefu chuki yako na Mayele inaenda kukutafuna.Sasa niumie kwa kipi?
Tatizo mmekariri vibaya mnataka watu wote tufanane mitazamo na ikiwa tofauti mnatafsiri chuki au maumivu
Unachekesha, unanipa pole mimi ambaye nakuwakislisha kimataifa?Pole sana , endelea kuugulia ,huo ndio ukwel , comment zako toka mwanzo ni maumivu tele , nakushauri acha kushabikia mpira ,labda ujaribu kushabikia mdako
Peleka timu yako ukione cha motoYanga is overrated
Wewe si ulisema tunafungwa?Mchezo wa leo ulikuwa wa kimkakati zaidi kwa Yanga
Mbeya kwanza walikuwa wameahidiwa pesa kwa ajili ya ya kumrudisha Aucho kwenye majeraha na Moloko pia apate majeraha..
Sasa katikati ya uwanja ni salama sana kuelekea mechi ya watani Khalid Aucho&Yanick Bangala na huku mbavu ya kulia ikiwa salama na Jesus Moloko
Hehehehe kuna namna nyingi ya kuleta vijimambo ila hii ya kwako ni extremeMchezo wa leo ulikuwa wa kimkakati zaidi kwa Yanga
Mbeya kwanza walikuwa wameahidiwa pesa kwa ajili ya ya kumrudisha Aucho kwenye majeraha na Moloko pia apate majeraha..
Sasa katikati ya uwanja ni salama sana kuelekea mechi ya watani Khalid Aucho&Yanick Bangala na huku mbavu ya kulia ikiwa salama na Jesus Moloko
Hahahaha ndio maana nakwambia unamaumivu tele , yaani povu linazidi kukutoka , mpira ni burudani mkuu ,mpira sio vita ,Unachekesha, unanioa pole mimi ambaye nakuwakislisha kimataifa?
Sasa una kipi cha kujivunia mbele yangu?
Timu yenyewe ndio hiyo mbeya kwanza na mpira wake wote tumeuona na wamethibitisha ni jinsi gani ni underdog. Lakini licha ya udogo wao bado mpira mmecheza kwa kiwango kibooovu to the fullest
Mpira ni furaha Mkuu,ila mchizi anauchukulia serious sana,Hapa penyewe Yanga kushinda amefura kinoma.Hahahaha ndio maana nakwambia unamaumivu tele , yaani povu linazidi kukutoka , mpira ni burudani mkuu ,mpira sio vita ,
Hili ni tatizo la watu wanaoshabikia mpira huku hawajawahi kuucheza ,ndio wanakua na matatizo kama yako ,kuufanya mpira ni vita ,kumbe mpira ni burudani
Aya sawaWewe si ulisema tunafungwa?
shabiki maandazi hujiamini
Kiujumla unateseka hatuna chakukusaidia zaidi ya kibano kingine tarehe 11..Unachekesha, unanioa pole mimi ambaye nakuwakislisha kimataifa?
Sasa una kipi cha kujivunia mbele yangu?
Timu yenyewe ndio hiyo mbeya kwanza na mpira wake wote tumeuona na wamethibitisha ni jinsi gani ni underdog. Lakini licha ya udogo wao bado mpira mmecheza kwa kiwango kibooovu to the fullest
Tukutane tar. 11 DecemberHehehehe kuna namna nyingi ya kuleta vijimambo ila hii ya kwako ni extreme
Yani simba itoe pesa kuwalipa mbeya kwanza kwa ajili ya kumjeruhi aucho ambaye aucho?
Daaah kweli kuwa mjinga kipaji aisee, mbona mi kila nikijaribu nashindwa unafanyaje fanyaje mpaka unaweza?
Vaa chupi uende sasaAya sawa
Anauchukulia mpira kama siasa za ccm na chadema wanaopambania ulaji ,kumbe ni tofautiMpira ni furaha Mkuu,ila mchizi anauchukulia serious sana,Hapa penyewe Yanga kushinda amefura kinoma.
Hapana ni kama zile tulizo wapiga ruvu shooting na red arrowsKama zile mlizopiga Musoma na B U M
Mkuu kwa muda wako ikikupendeza mpe jamaa darasa ili fikra na ubongo wake uwe huru dhidi ya chuki.Anauchukulia mpira kama siasa za ccm na chadema wanaopambania ulaji ,kumbe ni tofauti
Au zile za costal Union mkuu?Hapana ni kama zile tulizo wapiga ruvu shooting na red arrows
Scars yani unanichekesha mnoo. Leo uko na Mayele.Naona leo uko na fair play hakuna makasiriko..Sisis Simba ni wazunguMbeya kwanza ni timu ndogo sana kwa namna ambavyo wamecheza leo yanga ilipaswa kwenda mapumziko ikiwa mbele kwa mabao 5, ila ndo hivyo pana mayele pale kati
Kwani mkuuu umehamia Ruvu shooting? Ni ww kweli mbona kama umepoa wakati mwananchi anakula vituMbeya kwanza wana huyu dogo mmoja wa huku uswahilini kwetu Mbagala anawachambua sana Yanga anaitwa Hamis Kanduru
Mnatuweza? Au Unaongea Ongea TuHawa Yanga Tutawapiga Goli Nyingi sana
Hayo ni makanyagio, yanakanyaga mpaka mavi nk ndio maana yake ya hiyo rangi kwa UtopoloYanga wanaichukia rangi nyekundu afu viatu vya wachezaji mpira wengi vimetawala vyekundu