FT: Mbeya Kwanza 0-2 Young African | Ligi kuu

Sasa niumie kwa kipi?

Tatizo mmekariri vibaya mnataka watu wote tufanane mitazamo na ikiwa tofauti mnatafsiri chuki au maumivu
Kiukweli umeumia sana na muda si mrefu chuki yako na Mayele inaenda kukutafuna.
 
Pole sana , endelea kuugulia ,huo ndio ukwel , comment zako toka mwanzo ni maumivu tele , nakushauri acha kushabikia mpira ,labda ujaribu kushabikia mdako
Unachekesha, unanipa pole mimi ambaye nakuwakislisha kimataifa?

Sasa una kipi cha kujivunia mbele yangu?

Timu yenyewe ndio hiyo mbeya kwanza na mpira wake wote tumeuona na wamethibitisha ni jinsi gani ni underdog. Lakini licha ya udogo wao bado mpira mmecheza kwa kiwango kibooovu to the fullest
 
Mchezo wa leo ulikuwa wa kimkakati zaidi kwa Yanga

Mbeya kwanza walikuwa wameahidiwa pesa kwa ajili ya ya kumrudisha Aucho kwenye majeraha na Moloko pia apate majeraha..

Sasa katikati ya uwanja ni salama sana kuelekea mechi ya watani Khalid Aucho&Yanick Bangala na huku mbavu ya kulia ikiwa salama na Jesus Moloko
Wewe si ulisema tunafungwa?

shabiki maandazi hujiamini
 
Mchezo wa leo ulikuwa wa kimkakati zaidi kwa Yanga

Mbeya kwanza walikuwa wameahidiwa pesa kwa ajili ya ya kumrudisha Aucho kwenye majeraha na Moloko pia apate majeraha..

Sasa katikati ya uwanja ni salama sana kuelekea mechi ya watani Khalid Aucho&Yanick Bangala na huku mbavu ya kulia ikiwa salama na Jesus Moloko
Hehehehe kuna namna nyingi ya kuleta vijimambo ila hii ya kwako ni extreme

Yani simba itoe pesa kuwalipa mbeya kwanza kwa ajili ya kumjeruhi aucho ambaye aucho?

Daaah kweli kuwa mjinga kipaji aisee, mbona mi kila nikijaribu nashindwa unafanyaje fanyaje mpaka unaweza?
 
Unachekesha, unanioa pole mimi ambaye nakuwakislisha kimataifa?

Sasa una kipi cha kujivunia mbele yangu?

Timu yenyewe ndio hiyo mbeya kwanza na mpira wake wote tumeuona na wamethibitisha ni jinsi gani ni underdog. Lakini licha ya udogo wao bado mpira mmecheza kwa kiwango kibooovu to the fullest
Hahahaha ndio maana nakwambia unamaumivu tele , yaani povu linazidi kukutoka , mpira ni burudani mkuu ,mpira sio vita ,
Hili ni tatizo la watu wanaoshabikia mpira huku hawajawahi kuucheza ,ndio wanakua na matatizo kama yako ,kuufanya mpira ni vita ,kumbe mpira ni burudani
 
Mpira ni furaha Mkuu,ila mchizi anauchukulia serious sana,Hapa penyewe Yanga kushinda amefura kinoma.
 
Unachekesha, unanioa pole mimi ambaye nakuwakislisha kimataifa?

Sasa una kipi cha kujivunia mbele yangu?

Timu yenyewe ndio hiyo mbeya kwanza na mpira wake wote tumeuona na wamethibitisha ni jinsi gani ni underdog. Lakini licha ya udogo wao bado mpira mmecheza kwa kiwango kibooovu to the fullest
Kiujumla unateseka hatuna chakukusaidia zaidi ya kibano kingine tarehe 11..
 
Hehehehe kuna namna nyingi ya kuleta vijimambo ila hii ya kwako ni extreme

Yani simba itoe pesa kuwalipa mbeya kwanza kwa ajili ya kumjeruhi aucho ambaye aucho?

Daaah kweli kuwa mjinga kipaji aisee, mbona mi kila nikijaribu nashindwa unafanyaje fanyaje mpaka unaweza?
Tukutane tar. 11 December
 
Mpira ni furaha Mkuu,ila mchizi anauchukulia serious sana,Hapa penyewe Yanga kushinda amefura kinoma.
Anauchukulia mpira kama siasa za ccm na chadema wanaopambania ulaji ,kumbe ni tofauti
 
Mkuu kwa muda wako ikikupendeza mpe jamaa darasa ili fikra na ubongo wake uwe huru dhidi ya chuki.
 
Mbeya kwanza ni timu ndogo sana kwa namna ambavyo wamecheza leo yanga ilipaswa kwenda mapumziko ikiwa mbele kwa mabao 5, ila ndo hivyo pana mayele pale kati
Scars yani unanichekesha mnoo. Leo uko na Mayele.Naona leo uko na fair play hakuna makasiriko..Sisis Simba ni wazungu
 
Mbeya kwanza wana huyu dogo mmoja wa huku uswahilini kwetu Mbagala anawachambua sana Yanga anaitwa Hamis Kanduru
Kwani mkuuu umehamia Ruvu shooting? Ni ww kweli mbona kama umepoa wakati mwananchi anakula vitu
 
Yanga chama kubwa, ulistahili ushindi. Hongera kwa kocha Nabi kufanikiwa kupanga kikosi kwa akili kubwa. Kuna watu walitaka wamuumize Daktari na Moloko. Alhamdulillah dec 11 inshallah hku Djigu, Kibwana, Mwamnyeto, Djuma, Bangala, Aucho, Moloko Mayele, Feisal, n.k kuna jitu litatolewa damu.
 
Yanga wanaichukia rangi nyekundu afu viatu vya wachezaji mpira wengi vimetawala vyekundu
Hayo ni makanyagio, yanakanyaga mpaka mavi nk ndio maana yake ya hiyo rangi kwa Utopolo
 
Back
Top Bottom