FT: Mbeya Kwanza 0-2 Young African | Ligi kuu

Fair challenge akicheza rough mchezaji wa yanga ila kwa mbeya kwanza hali ni tofauti
 
Mayele katoka kaingia makambo

Kwa tafsiri fupi ni kwamba wametoa mlango wameweka pazia, huyu makambo ndio hana hata nafuu
 
Mbeya kwanza wanapata kona ya tano hapa ngoja tuone
 
Daaah ilikua hatari, umetoka nje inakua kona nyingine
 
Jamani jamani hii aibu gani hii??

Yani mbeya kwanza wanaangushwa nadani ya box lakini refa anasema fair challenge what kind of shit is that?
 
Kama kawaida yao, yanga wamekata moto
Wadogo wanacheza pale pale nusu uwanja yani wanakasi ya light, ni hivyo refa yuko upande wa yanga na ndio maana huoni akitoa adhabu au kutoa penalty za wazi kama zile
 
Yanga naona kama kawaida washaanza kupoteza muda kizembe kwa kujiangusha angusha tu
 
Wadogo wanacheza pale pale nusu uwanja yani wanakasi ya light, ni hivyo refa yuko upande wa yanga na ndio maana huoni akitoa adhabu au kutoa penalty za wazi kama zile
Angekua ni mchezaji wa yanga refa angefunika
 
Didier hii sio tabia yako, mbwembwe kama hizi zitakuja kuku cost
 
Makambo namuhesabia, ni mara ya tatu anagusa mpira tangu aingie
 
Hahahaha juma shabani kapiga shoot alivyo hakikisha shuti limelenga lango akageuka kwenda kushangilia nimeskia wenzake wanamaambia "wee rudi kipa kapangua"
 
Aucho haingii kwanini?

Isije ikawa wamemuweka sub ili kuzima kelele zinazoendelea
 
Mwakyembe kapiga shuti kali lakini kakosekana wa kumalizia

Kwa ambao mko mbali na tv lile shuti lilipigwa kama morrison halafu mmaliziaji aliyetakiwa kumalizia hapa alitakiwa kuja kama kagere alivyofanya
 
Dakika ya 79' bado mbeya kwanza wako nyuma kwa bao 2
 
Mbeya kwanza wako vizuri sana kupiga free kick na kona ysni mipira yao inafika vizuri kimahesabu
 
Yanga alishakubali kufungwa ili Simba asishuke daraja, kusema kuwa mnapanga silaha kuandena na adui ndio kusema kufurumushwa club bingwa ndio uwezo uliishia pale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…