XII Tz
JF-Expert Member
- Aug 16, 2020
- 4,345
- 7,076
Hapana, tunazungumzia Simba kiujumlaKwani hapa tunazungumzia kombe la shirikisho la caf?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana, tunazungumzia Simba kiujumlaKwani hapa tunazungumzia kombe la shirikisho la caf?
Wadogo wanacheza pale pale nusu uwanja yani wanakasi ya light, ni hivyo refa yuko upande wa yanga na ndio maana huoni akitoa adhabu au kutoa penalty za wazi kama zileKama kawaida yao, yanga wamekata moto
Angekua ni mchezaji wa yanga refa angefunikaWadogo wanacheza pale pale nusu uwanja yani wanakasi ya light, ni hivyo refa yuko upande wa yanga na ndio maana huoni akitoa adhabu au kutoa penalty za wazi kama zile
Yanga alishakubali kufungwa ili Simba asishuke daraja, kusema kuwa mnapanga silaha kuandena na adui ndio kusema kufurumushwa club bingwa ndio uwezo uliishia pale.Ile mapinduzi tulifanya uungwana tu, kwasababu busara zenu zilifika kikomo mkafika hatua mkautangazia umma kua mmempa kocha mechi tatu za kujipima
Kati ya hizo mechi tatu, mechi mbili alikuwa amekwisha zipoteza nje ndani. Sasa tungewafunga mngekuwa katika hali gani nyie?
Sisi tunajua timing ya mpira, tunajua hii ni vita ya namna gani na silaha gani tutumie, kifupi ni kwamba tunafunga mziki kulingana na ukubwa wa shuhuli
Na pia sisi ni tuna ndugu zetu tunaowapenda wanaoshabikia yanga, hatupendi kuwaona wakiwa kwenye manung'uniko kwa hiyo kwanza tulilinda kibarua cha kocha na pia kurejesha furaha ya wana yanga ambao mostly walikua wamekata ringi