FT: MC Alger 1-0 TP Mazembe | CAF Champions League | Stade de 5 Juillet | 10.01.2025

FT: MC Alger 1-0 TP Mazembe | CAF Champions League | Stade de 5 Juillet | 10.01.2025

Sasa hapa kazi imebaki kwa Yanga, kama watashinda basi tutashuhudia mfano wa fainali ya hili kundi kati ya Mc na Yanga.
Yanga fainali yake ipo Jumapili, akiwafunga Al Hilal kwa Mkapa mwarabu hatoki, mechi kama hizi Yanga huwa wanapandisha morali juu sana
 
Miaka hiyo TP Mazembe wa moto kweli kweli. Siyo hawa madogo baada ya kuzuiwa kusajili. Hii ya sasa Yanga ina uwezo wa kuipiga hata 5. Imechoka mwaka huu angalia kwenye kundi ilikuwa ya Ngapi. Kwa sasa nadhani ndo team ambayo imepigwa matches nyingi kwenye group.
Hivi kosa la hawa ni nini??
 
Yanga fainali yake ipo Jumapili, akiwafunga Al Hilal kwa Mkapa mwarabu hatoki, mechi kama hizi Yanga huwa wanapandisha morali juu sana
1000221717.jpg
 
Back
Top Bottom