FT: MC Alger 1-0 TP Mazembe | CAF Champions League | Stade de 5 Juillet | 10.01.2025

FT: MC Alger 1-0 TP Mazembe | CAF Champions League | Stade de 5 Juillet | 10.01.2025

Tatizo unafki umekujaa
1736543506677.jpeg
 
Sasa hapa kazi imebaki kwa Yanga, kama watashinda basi tutashuhudia mfano wa fainali ya hili kundi kati ya Mc na Yanga.
Yanga ana fainali mbili.
Fainali ya kwanza ni hapo kesho akishinda hiyo ana fainali ya pili dhidi MC Alger.
Al Hilal wanahitaji ushindi ili waongoze kundi.
Sidhani kama kutakuwa na mchezo wa kuachiana.
 
Daaah hii mechi mimi kama hater nimeimaliza nikiwa nimechoka sana.

Mc Algier wanaweza kujisifu kama ni juhudi zao peke yao kwenye haya matokeo.

Lakini uhalisia ilikuwa ni lazima itumike nguvu ya ziada kufanikisha huu ushindi.

Maana ilifika muda nimezibana mpaka nikaaona haitoshi ikabidi nibane na za paka ambaye yupo humu ndani.
Ulikua unaminya mazaga
 
Yanga ana fainali mbili.
Fainali ya kwanza ni hapo kesho akishinda hiyo ana fainali ya pili dhidi MC Alger.
Al Hilal wanahitaji ushindi ili waongoze kundi.
Sidhani kama kutakuwa na mchezo wa kuachiana.
Yanga akishinda morale itakuwa juu sana na Alger atakuja na presha. Nionavyo Yanga ikishinda, basi chance ya kupita ni 70%.
 
Mahesabu haya wangeyapiga wakiwa shuleni probably hata wasingekuwa kwenye mpira.

Sio kama wana kipaji, ni kufeli kwao shule ndio kumewafanya wawe hapa walipo.

Now wameanza kujipa kazi ambayo walikuwa wanaikimbia shuleni.

1736543953630.gif
 
Back
Top Bottom