FT: MC Alger 1-0 TP Mazembe | CAF Champions League | Stade de 5 Juillet | 10.01.2025

Mkuu, ila mbona Yanga wala hawahitaji hesabu za calc.

Yanga washinde tu mechi 2, watafikisha point 10 ambazo Alger hawezi zifikia.

Kwa upande wa Alger yeye anakuja kutafuta draw tu, anafikisha 9 ambazo Yanga hata akishinda goli 10 kesho hazifikii.
Yanga bado wanahitaji hesabu na dua.

Kilichotokea leo ilikuwa ni dua. It turns out imefeli.

Kesho wanaingia kwenye hesabu. Hesabu inayowalazimu washinde iwe isiwe.

Iwapo wakisare watalazimika mechi ya mwisho kushinda zaidi ya bao 3.

Mpaka hapo inakuwa sio ushindi tu utaokufanya upite, ni ushindi unaokuja na changamoto nyingine kuongeza ugumu.

Kwa hiyo sio kwamba tunakataa kuwa Yanga hana nafasi ya kupita. No hatuna maana hiyo.

Ila tunachokusudia ni kwamba ana mzigo mkubwa unaomshurutisha kupata matokeo kwenye mechi 2 mfululizo ambapo hapo kuna moja ya away na moja ni dhidi ya mshindani wake wa kuwania kufuzu.

Hilo tu.
 
Wapiga ramli katika ubora wao.
 
Upo sawa mkuu,
maneno rahisi ni Yanga ili apite ashinde mechi zake.

Halafu tusisahau Mc alger yeye anatafuta point moja tu, so anaweza kuja kucheza counter
 
Na Mc Alger apoteze mechi yake
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Yanga ana njia mbili
1. Atoe droo kesho kisha aje amfunge MCA. Watalingana point anabidi kuangalia GD. Uto ina -2 mpaka sasa, inabidi apate ushindi wa goli nyingi

2. Afunge mechi zote 2 bila kujali idadi ya magoli itakuwa na 10
Sawa..na kesho akifingwa anaweza kuaga
 
Yanga ana fainali mbili.
Fainali ya kwanza ni hapo kesho akishinda hiyo ana fainali ya pili dhidi MC Alger.
Al Hilal wanahitaji ushindi ili waongoze kundi.
Sidhani kama kutakuwa na mchezo wa kuachiana.
Al hila si ashinde vs mazembe ili aongoze kundi
 
Back
Top Bottom