Magwangala
JF-Expert Member
- Oct 4, 2011
- 2,836
- 2,138
Yanga fainali yake ipo Jumapili, akiwafunga Al Hilal kwa Mkapa mwarabu hatoki, mechi kama hizi Yanga huwa wanapandisha morali juu sanaSasa hapa kazi imebaki kwa Yanga, kama watashinda basi tutashuhudia mfano wa fainali ya hili kundi kati ya Mc na Yanga.
Hivi kosa la hawa ni nini??Miaka hiyo TP Mazembe wa moto kweli kweli. Siyo hawa madogo baada ya kuzuiwa kusajili. Hii ya sasa Yanga ina uwezo wa kuipiga hata 5. Imechoka mwaka huu angalia kwenye kundi ilikuwa ya Ngapi. Kwa sasa nadhani ndo team ambayo imepigwa matches nyingi kwenye group.
Yanga fainali yake ipo Jumapili, akiwafunga Al Hilal kwa Mkapa mwarabu hatoki, mechi kama hizi Yanga huwa wanapandisha morali juu sana
Kuna mwanetu ananizinguaKuna nini kiongozi
Hesabu za kumfunga Mazembe 3 halafu Mazembe akamfunge Mc alger lazima ziwe ngumu mkuu.Kibarua cha majirani kimeanza kuwa kigumu.
Hesabu zinakuja zinakataaView attachment 3198027
Moto wa kikokotoo?
Yanga ana njia mbiliMhasibu wewe najua huitaji calculator..hesabu zikoje hapo?
baelezee baelezeeKumbuka MCA akimpiga Uto anaongoza, sasa Al Hilal hawezi kukubali huo ujinga
Mpira ukitoka nje inarushwa mitatu tena pande tofauti tofauti
Kuna sehemu walikosea nadhani kwenye masuala ya usajili wakafungiwa kusajili. Na bahati mbaya waliuza wachezaji wao wazuri kadhaa kabla.Hivi kosa la hawa ni nini??
eti yote haya kisa mazembe kapigwa, dah! kweli nyuma kuna mwikoStraight to ignore list. Kuanzia hapa sitaona post yako yoyote.
Akifungwa kesho itapendeza zaidi😃Yanga ana njia mbili
1. Atoe droo kesho kisha aje amfunge MCA. Watalingana point anabidi kuangalia GD. Uto ina -2 mpaka sasa, inabidi apate ushindi wa goli nyingi
2. Afunge mechi zote 2 bila kujali idadi ya magoli itakuwa na 10
Faida nyingine wana mashabiki kama wote huku BongoKiufundi MC Alger kucheza mapema inawasaidia sana kupumzika kuja kuikabili Yanga. Hii ni faida kwa waarabu.
Tatizo unafki umekujaaMechi hainihusu lakini pressure debe
Ibenge kauza game tayari kazi kwetu na waarabu wa AlgeriaYanga ana njia mbili
1. Atoe droo kesho kisha aje amfunge MCA. Watalingana point anabidi kuangalia GD. Uto ina -2 mpaka sasa, inabidi apate ushindi wa goli nyingi
2. Afunge mechi zote 2 bila kujali idadi ya magoli itakuwa na 10