FT: MC Alger 1-0 TP Mazembe | CAF Champions League | Stade de 5 Juillet | 10.01.2025

1. Atoe droo kesho kisha aje amfunge MCA. Watalingana point anabidi kuangalia GD. Uto ina -2 mpaka sasa, inabidi apate ushindi wa goli nyingi
Akitoa draw inabidi amfunge Mc Alger magoli mengi kuzidi aliyofungwa ugenini,
 
Sasa hapa kazi imebaki kwa Yanga, kama watashinda basi tutashuhudia mfano wa fainali ya hili kundi kati ya Mc na Yanga.
Yanga ana fainali mbili.
Fainali ya kwanza ni hapo kesho akishinda hiyo ana fainali ya pili dhidi MC Alger.
Al Hilal wanahitaji ushindi ili waongoze kundi.
Sidhani kama kutakuwa na mchezo wa kuachiana.
 
Ulikua unaminya mazaga
 
Tuchukue Mfano huu! Hesabu za Yanga zitakuwa rahisi Kufuzu.

Yanga akikopa point Moja kwa mazembe!

Halafu akamfunga Ibenge

Halafu kwa Mkapa akatoa Draw

Yanga anaongoza 🀣🌚
 
Yanga ana fainali mbili.
Fainali ya kwanza ni hapo kesho akishinda hiyo ana fainali ya pili dhidi MC Alger.
Al Hilal wanahitaji ushindi ili waongoze kundi.
Sidhani kama kutakuwa na mchezo wa kuachiana.
Yanga akishinda morale itakuwa juu sana na Alger atakuja na presha. Nionavyo Yanga ikishinda, basi chance ya kupita ni 70%.
 
Mahesabu haya wangeyapiga wakiwa shuleni probably hata wasingekuwa kwenye mpira.

Sio kama wana kipaji, ni kufeli kwao shule ndio kumewafanya wawe hapa walipo.

Now wameanza kujipa kazi ambayo walikuwa wanaikimbia shuleni.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…