FT: MC Alger 1-0 TP Mazembe | CAF Champions League | Stade de 5 Juillet | 10.01.2025

FT: MC Alger 1-0 TP Mazembe | CAF Champions League | Stade de 5 Juillet | 10.01.2025

Confirmed utopolo washatinga robo fainali kwa matokeo haya ni kiwango hiki cha hawa warabu maana kocha ibenge kesho anapoteza game makusudi
 
Daaah hii mechi mimi kama hater nimeimaliza nikiwa nimechoka sana.

Mc Algier wanaweza kujisifu kama ni juhudi zao peke yao kwenye haya matokeo.

Lakini uhalisia ilikuwa ni lazima itumike nguvu ya ziada kufanikisha huu ushindi.

Maana ilifika muda nimezibana mpaka nikaaona haitoshi ikabidi nibane na za paka ambaye yupo humu ndani.
 
Sasa hapa kazi imebaki kwa Yanga, kama watashinda basi tutashuhudia mfano wa fainali ya hili kundi kati ya Mc na Yanga.
 
Hesabu ya kwanza imegoma

1736543076299.jpeg
 
Hii haiwezekani ikawa ya kiswahili? Waulizeni Azam mlio jirani nao
 

Attachments

  • IMG_1964.jpeg
    IMG_1964.jpeg
    635.7 KB · Views: 1
Back
Top Bottom