DK 70mbona uzi umepoa huu vp hamna uhakika?
Mungu Ana mengi sana ya kufocusLaana iwe juu ya utopolo
Ameen
Tunafumua tu. Namungo walituangushaMechi ijayo upo ugenini dhidi ya Mazembe unanyolewa tena
We soma comments tu hao wanafiki wala hawakerii kabisa.Wanafiki mmeshaanza kuvamia uzi ulikuwa umepoaaa [emoji23][emoji23]
nilijua tu yatatokea...