Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Sasa Yanga atamfunga nani kwemye Group.lao?Ila kundi yanga anapita hawa jamaa wepesi sana wakija kwa mkapa
Au sioNgoja tutakufurahisha
Nasikia huyo namba 7 anafunga hadi kwa ulimiVinaingia vyuma sana. Uto hakuna kukimbia
Katika hili kundi, kila timu itachukua points tatu ikicheza na Yanga, iwe kwa Mkapa ama isiwe kwa Mkapa.Ila kundi yanga anapita hawa jamaa wepesi sana wakija kwa mkapa
Na yametimiaKipindi Cha pili Yanga anapigwa chuma 1 au 2