FT: MC Alger 2-0 Young Africans | CAF Championship League | December 7, 2024

Inabidi tuchague kichwa cha habari:
1. Yanga yawa kijiko cha hotelini
2. Yanga yafanywa jamvi la wageni
3. Yanga yapakuliwa kama wali ugenini
4. Uchenyetaji waendelea Yanga.
5. Kimoja tu, Wananchi chaliii...
6. Yanga kama mlivyosikia....!

Malizieni nyingine ....
 
Yanga kwa huu uchezaji hili kundi anashika mkia. Wachezaji wako hoi bin taabani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…