FT: Medeama 0 - 1 Al ahly | CAF CL | 23/02/2024

Hee, Endeleeni kuleta Matokeo huko...

Sijui hizi dua za hapa Mungu anazipinduapindua?
Yaani tunamuombea Medeama Lkn anafunga Al Ahly
haya mambo Mungu hausiki nayo bhana

Kuna uchafu mwingi mno ambao sisi hatuuoni kwa sababu wanaufanya kwa siri sanaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…