Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inatuhusu nini sisiHee, Endeleeni kuleta Matokeo huko...
Sijui hizi dua za hapa Mungu anazipinduapindua?
Yaani tunamuombea Medeama Lkn anafunga Al Ahly
my nidakika yangapi Sasa?Mi hili kundi silielewi...hahahah
😂😁Mtani Hili kundi anaenda ali Ali na majini Yanga SCMi hili kundi silielewi...hahahah
Unadhani naangalia? Naangalizia humu kwny comment...my nidakika yangapi Sasa?
Eti ee basi safi sana...ila CR si bado ana mechi na hao Vibonde mediama?😂😁Mtani Hili kundi anaenda ali Ali na majini Yanga SC
Dakika ya 84 ali Ali anaongoza goli moya medeama wana sufuriUnadhani naangalia? Naangalizia humu kwny comment...
Yanga kesho wajitahidi aisee...Dakika ya 84 ali Ali anaongoza goli moya medeama wana sufuri
Ndio lakini kesho CR akipoteza kazi anayo ngumu sana 😂😁Eti ee basi safi sana...ila CR si bado ana mechi na hao Vibonde mediama?
Hapana hana ugumu...ugumu bado mtakua nao nyie...niamini mimiNdio lakini kesho CR akipoteza kazi anayo ngumu sana 😂😁
Kesho majini yatakuwa mengi zaidi subiani lazima tushinde 😂😁Yanga kesho wajitahidi aisee...
sawa my badae basi😘Unadhani naangalia? Naangalizia humu kwny comment...
Ali Ali ni ndugu zetu mtani wangu 😁😂 tuna undugu wanaweza kutukaribisha vizuri pale Cairo Egypt 😁😂😂Hapana hana ugumu...ugumu bado mtakua nao nyie...niamini mimi
Tumetuma nguruwe wa kutosha hapo nje ya uwanja majini hayatakaa hapo 😀 😀Kesho majini yatakuwa mengi zaidi subiani lazima tushinde 😂😁
haya mambo Mungu hausiki nayo bhanaHee, Endeleeni kuleta Matokeo huko...
Sijui hizi dua za hapa Mungu anazipinduapindua?
Yaani tunamuombea Medeama Lkn anafunga Al Ahly
Kesho tukifungwa nitalia sana 😭😭🤣Tumetuma nguruwe wa kutosha hapo nje ya uwanja majini hayatakaa hapo 😀 😀
Ahly wamecheza kikubwaHii gemu ni nzuri mnoooo,aisee hawa Medeama ni hatari mnoooo!
kiukweli Al ahly akitoka Salama leo basi nitaamini kuna uchawi!.
Huyu Mwarabu ameshuka sana kiwango!
Si mnaleta zereu...watawachabanga ili msiwaletee utani..Ali Ali ni ndugu zetu mtani wangu 😁😂 tuna undugu wanaweza kutukaribisha vizuri pale Cairo Egypt 😁😂😂
Thubutuu, yanga asubiri kukaangwa tuHao Al ahaly Yanga anaenda kujipigia kwao