FT: Medeama 0 - 1 Al ahly | CAF CL | 23/02/2024

FT: Medeama 0 - 1 Al ahly | CAF CL | 23/02/2024

Medeama Wamekosa Nafasi Nyingi Sana.

Ngoja Waongezwe Kwanza Sisi Wana Dar Young Africans Tukambukuze Vizuri Huko Egypt
 
20240223_210103.jpg
 
Hii gemu ni nzuri mnoooo,aisee hawa Medeama ni hatari mnoooo!

kiukweli Al ahly akitoka Salama leo basi nitaamini kuna uchawi!.


Huyu Mwarabu ameshuka sana kiwango!
Mwarabu anacheza mpira wa malengo sio wa kukimbizana. Haya sasa kaondoka na pointi tatu muhimu.

Na kesho Yanga akicheza mpira wa kukamia kama Mediama basi atakufa chuma mbili swaaaafi maana mwarabu kawaida yake anakuacha uchezee mpira yeye anakupigia hesabu za counter attack anamaliza game.
 
Back
Top Bottom