FT: Mighty Wanderers 0-1 Simba SC | CAFCL-1st Leg | Wakali wa Kimataifa wafanya kweli | 06.09.2026

uran

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2013
Posts
19,101
Reaction score
31,995
Timu ya Simba SC imeanza kwa ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Mighty Wanderers katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika, Septemba 6, 2026.

Mchezo wa marudiano baina ya timu hizo katika Hatua hiyo ya Awali unatarajiwa kupigwa Septemba 13, 2026 kwenye Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.

=====================
HRimaJoWcAAOzqE.jpg

1000976345.jpg
MATCH DAY.
Leo Septemba 6, 2026, Simba SC inatupa karata yake ya kwanza ya CAF Champions League ugenini dhidi ya Mighty Wanderers pale Bingu National Stadium, Lilongwe, Malawi (Muda: Saa 10:00 Jioni EAT).

Hali ya Simba SC: Inaingia ikiwa na morali ya ushindi wa mechi 5 mfululizo kwenye Ligi Kuu (NBC). Changamoto pekee ni kukosekana kwa mabeki Shomari Kapombe na Nickson Kibabage, lakini uzoefu wa kimataifa wa kikosi na uwepo wa mafundi kama Clatous Chama unampa Mnyama nafasi kubwa.

Mighty Wanderers: Wakiwa nyumbani wanajua fika kuwa lazima wapate ushindi ili kujiweka salama kabla ya kuja Dar es Salaam kwenye marudiano Watacheza kwa nguvu na kushambulia kwa kushitukiza.

Simba atashinda hii game.
#nguvumoja.

Kikosi cha Simba.
1000977023.jpg

Tukutane saa 10 kwa Updates...
 
View attachment 3664237

Draw leo....bila bila
 
Back
Top Bottom