Wapigwe tuKila la heri Simba Sports Club
Safi mkuu Niko huku shimoni ntakua naskilizia update kutokea kwakoDk 3
MWF 0-0 Simba
Wàache waendelee kuja Ivo Ivo Kama kuku waliokatwa kichwaNawashangaa hawa jamaa hawaiheshimu Simba.
Wanajaribu kucheza kwa kupishana nao.
Kitawalamba