Dk 6
Kona ya pili wanapata Simba.
LitaFARIKI jituKona ya pili...
Imepigwa kichwa.
Inatoka nje.
Kona ya tatu.
Dereck anapiga kichwa kinaenda off target.
0-0
Yule Doumbia ni Osimhen mtupu. Leo akitokea benchi anaenda kutupia hat-trik.Tunaenda kuua leo na dombia anatupia😅

ni kawaida pesa kubwa kukaa bank. Pesa inayotosha mfukoni nayo ni pesa?Pesa iko bank mjiandae