Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Huu mfumo wa wapiDk7.....Stars wanabaki Basi na waarabu wanaongoza kwa possession so far......tunazuia kwa mfumo wa 442
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu mfumo wa wapiDk7.....Stars wanabaki Basi na waarabu wanaongoza kwa possession so far......tunazuia kwa mfumo wa 442
Sent using Jamii Forums mobile app
MwenyeweTakkkatak..a
Waarabu mna tabu sana.Wapigwe nyingi hao stars
Staz wapigwe nyingi, kushindwa kwa staz ni kushindwa kwa chama la maokotoWaarabu mna tabu sana.
Lipa ada za watoto mkuu, acha makasirikoWapigwe nyingi hao stars
Wanangu walishahitimu na wanalipwa mshahara, mambo ya kulipa ada nakuachia weweLipa ada za watoto mkuu, acha makasiriko
Hakuna lolote hapoAtleast team inaonyesha mwanga👏
Wamejitahid