FT: Misri 2-0 Tanzania | Mechi ya Kirafiki | Cairo International Stadium | 07-01-2024

FT: Misri 2-0 Tanzania | Mechi ya Kirafiki | Cairo International Stadium | 07-01-2024

Dk za mwanzo timu imepaki Basi duh huko afcon ni vituko Ina maana wachezaji hawajiamini wako wanashangaa ndevu za sarah
 
Hii stars ina changamoto kubwa kwenye midfield na ushambuliaji, wakiendelea kucheza kwa hii style butu wanaweza kutolewa bila kupata goli
 
Pass Moja ya Salah imevunja lain mbili za stars na kuzaa bao.
Zile kona za Feisal ni mbinu au uoga. Maana naona amepiga hazifiki kwa watu, zinaishia kabla ya kuwafikia wanaousubiria.
 
Balaa sanaa Egypt...full mkoko....Salah yumooo
 
Nimejifunz kitu kikubwa sana kwa watanzania,ni walalamikaji mno hawana shukurani hata kwa dogo,ni wanafiki sanaaaa,tubadirike wabongo
Je ungependa kuona wabongo washukuru kwa lipi ilihali hapa watu wanaongea madhaifu ya timu kuelekea katika mashindano ya AFCON iliyo karibu kabisa kuanza
 
Back
Top Bottom