Wolverine2
JF-Expert Member
- Sep 12, 2025
- 1,169
- 1,571
dua mbaya za watanzania wengi ndo ilikuwa obstacle kubwa kwa CCM STARS!Moroco hawapenyi
Hii dhulma hataiwaacha salama
SIjui watakutanana na timu Gani
Ila kama ni South Africa au Nigeria
Morocco hapiti hakiyanani.
mwamba keka lilichanika? Hahahahaha! Sasa wewe unathubutuje kumweka ccm stars kwenye orodha ya keka lako?Umekua tajiri kwa kushindwa kwao
Mimi Gamondi alivyofukuzwa YangaSijui uongozi mbovu wa yanga ulifikiria nini kumfuta kazi kocha mzuri kama huyu! Ingekuwa ni kocha mwingine hata round ya 16 taifa stars wasingegusa pua yao! Ukicheki kikosi ni kilekile cha muda wote tena labda kikosi cha sasa hivi ndo kilikuwa kibovu kuliko! Ila mwamba ametumia mambinu kama yote mpaka akawapeleka hawa ccm stars round ya 16! Yanga ni wajinga mpaka najifikiria mara mbili kuwa shabiki wao!
Walivyokosa tukawatukana hapohapoko unawadai akina msuva eti? Nenda ukawakabe sasa ili wakulipe deni lako wanaondokaje na deni alaa!
πUliona odds mjomba ? Nilikua namuua mhindi Jana kumamakehmwamba keka lilichanika? Hahahahaha! Sasa wewe unathubutuje kumweka ccm stars kwenye orodha ya keka lako?
Sio kwamba mguu haukukaa vizuri kwenye MpiraHaikua penalty ile. So soft for a PK. Ukiangalia vizuri alikua on his way down Kabla hata ya kuguswa. Zile chance mbili zilikua wazi mno kukosa, wajilaumu wenyewe.
Yule nyang'au ndio mwisho wake mechi ya Jana kwnye michuano hiiiIla Morocco nao watatolewa tu
Ni suala la muda tu
Labda kama watapangiwa refarii huyuhuyu
Ni kweli huenda Nado alikuwa anataka atengeneze mazingira ya penalt, basi kama muamuzi si angekwenda kuangalia VAR watu wasingefika hapa kulalamika.Haikua penalty ile. So soft for a PK. Ukiangalia vizuri alikua on his way down Kabla hata ya kuguswa. Zile chance mbili zilikua wazi mno kukosa, wajilaumu wenyewe.
sheria za mpira zipo pande zote,timu kubwa na ndogo. Ukisema morocco wamestahili kubebwa basi ilikuwa haina haja ya kucheza nao maana kumbe ilikuwa imepangwa tayari nani apite kwenda robo fainali. Ninachojua na nilichokiona jana ni kuwa refa alikuwa upande wa morocco nadhani ni kutokana na kumlinda mwenyeji asitoke mapema na kuna namna huenda alihongwa mapesa.lakini angekuwa amechezesha kwa haki,kwa kufuata sheria 17 za mpira wa miguu hata kama tungetoka tungetoka kivingine tofauti na tulivyotoka jana. Maraisi wa mashirikisho walikuwepo alikuwepo rais wa fifa ifantinyo na mwenzake wa caf motsepe yamkini wameona hali halisi ya soka letu.
Kwani cameroon ni nani? Tutamchapa tuanakutana na cameroon
So, wewe sio mtu wa mpira, bali umejawa na chuki tu sio!! Kama ni hivyo basi naomba tuishie hapo kaka, kama nimekukera I'm sorry.Eti huna la kuongea ..mnafiki.mkubwa ..sheria Gani pale ilitakiwa kutafsiriwa...nauliza tu pesa mlizomuahidi refa wa mali mmeshamuekea kwenye akaunti yake nyinyi waarabu Koko
Mpira Gani walionao hao makuma? Wana mpira Gani ..mpira wa rose muhando ?
cameroon ndiye bingwa wa michuano hii,hutaki kalale.Kwani cameroon ni nani? Tutamchapa tu
Morocco
cameroon ndiye bingwa wa michuano hii,hutaki kalale.
Old time