FT: Namungo 2 - 2 Simba | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 30.04.2024

FT: Namungo 2 - 2 Simba | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 30.04.2024

Tuna viporo Viwili,
Point 47. Nafasi ya Tatu.

Azam ana point 54, Nafasi ya pili
Tukishinda hivyo viwili Tunakuwa na Points 53.
Sasa sisi tunabaki kuwaombea Azam dua wapoteze mchezo ili tuweze kucheza CAF CL
 
🤣🤣🤣🤣 Dah! Simba kweli ni wakugombania nafasi ya tatu na Namongo.
 
Simba fanyeni usajili Athenian blah blah
tatzo ni moja2...mo anatoa hela za usajili halaf znaishia kwenye mifko ya vidudu mtu...matokeo yake wanatuletea wachezaji ambao hawana hata sifa za kuitwa wachezaji.....huu ni ujinga wa kiwango cha lami
 
Tuna viporo Viwili,
Point 47. Nafasi ya Tatu.

Azam ana point 54, Nafasi ya pili
Tukishinda hivyo viwili Tunakuwa na Points 53.
Sasa sisi tunabaki kuwaombea Azam dua wapoteze mchezo ili tuweze kucheza CAF CL
Njaa? Hii simba ipumzike kwanza
 
Tuna viporo Viwili,
Point 47. Nafasi ya Tatu.

Azam ana point 54, Nafasi ya pili
Tukishinda hivyo viwili Tunakuwa na Points 53.
Sasa sisi tunabaki kuwaombea Azam dua wapoteze mchezo ili tuweze kucheza CAF CL
kwa simba hii, bado unawaza kwenda CAF CL!! si kwenda kujiaibisha2...bora wabaki na NBC PL wajifunze kwanza
 
Umepata hasara bilioni ngapi hadi ufadhaike kihivyo?
Kadri pendo kati ya Simba na Yanga linavyoongezeka, ndiyo utamu wa mpira pia unapotea. Mpira hupendeza wakati simba na Yanga wakiwa jino kwa jino huku yanga ikiongoza kwa point moja au mbili tu, Sasa bila mvutano wa mpira baina ya Yanga na Simva tunaishia kukaa vijiweni na kupiga umbea mtupu, hapo ndipo mfadhaiko unapoanza kuleta mateso
 
Back
Top Bottom