Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Yaan mechi za simba ni mauza uza tupuKadi nyekundu aliyeona tatizo nini aniambie
Kama. Familia naomba kazi ya uhouse boySasa si familia
We Hukuona? Tatizo ni π΅Kadi nyekundu aliyeona tatizo nini aniambie
Jamaa kamtukana refa eti msen**Hii RED CARD Kama Kuna Alieilewa, Anieleweshe na Mie
we umeskia?Jamaa kamtukana refa eti msen**
Saa ngapi tena naye alikuwepo dakika chache!
Mkuu ndo hyo redcard?Jamaa kamtukana refa eti msen**
RED card ya mchongoHii RED CARD Kama Kuna Alieilewa, Anieleweshe na Mie