FT: Namungo FC 0-3 Simba SC | NBC PL | 19.02.2025

FT: Namungo FC 0-3 Simba SC | NBC PL | 19.02.2025

Magoli ya kulazimishia, Dah huu Mpira wa Makolo ni wa kubebwa bebwa sana ila timu haina uwezo
Uwezo upo na tunao, ndo maana Leo tunasubiri Droo ya kimataifa.

Poleeee wee!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sawa kabisa na TAKUKURU na Tume ya Ushindani zitimize majukumu yao, haiwezekani mtu mmoja kumiliki timu saba zinazoshiriki ligi moja.
Sasa Azam mbona imedhamini kombe zima na hatujaona tatizo?

Au jina la GSM linawawasha vijambio?
 
Back
Top Bottom