FT: Namungo FC 1-3 Simba SC | VPL | Majaliwa Stadium

FT: Namungo FC 1-3 Simba SC | VPL | Majaliwa Stadium

We kiboko mkuu, achana na siasa komaa na mambo hizi you are the best kwenye hii field unatufundisha mambo mengi muhimu sana
I wish angechemsha hicho chungu mechi ya Kaizer Chiefs
 
Cha ajabu wote mmekimbia na mmesahau kwamba mugalu kairudisha simba mchezoni na mugalu katoa asist ya goli la 2 ebu mnaonaje kama mtasema samahani mugalu kwa Yale matusi
Pamoja na hayo bado kwangu Mimi Mugalu siyo striker mzuli. Kabla ya goli na assist hakucheza vizuri.
Ukitaka kujua ubovu wa Mugalu usiwe na mihemko, angalia movement zake na jinsi anavyoji position wakati tunashambulia na utofauti na Bocco anachofanya wakati tunashambulia.

Goli alilofunga ndiyo position anazotakiwa kukaa mshambuliaji wakati wa kushambulia lakini Mara nyingi huwa hakai vile.
 
Cha ajabu wote mmekimbia na mmesahau kwamba mugalu kairudisha simba mchezoni na mugalu katoa asist ya goli la 2 ebu mnaonaje kama mtasema samahani mugalu kwa Yale matusi
Ndo kawaida ya binadamu mzee

Watu waliokua wanamponda mpishi kua kaharibu chakula kwa kuzidisha chumvi, leo hii wanasifia ubora wa mchuzi kua una nyanya nzito kutokana na wakulima wa nyanya, ila hauwaoni kumsifia mpishi kwa kiwango cha chumvi kilichowekwa kimahesabu kilichofanya huo mchuzi uwe mzuri
 
Back
Top Bottom