FT: Namungo FC 1-3 Simba SC | VPL | Majaliwa Stadium

Mimi je? Nilikuwa nakunywa Nederburg Barone haipandi,najifanya kufuatilia H/work za watoto,mara narukia topic ya kina Magige huko,huku narefresh hii page kuona kinachoendelea. Mweeh Ushabiki huu utakuja tupeleka pabaya haki[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Qudadeq hili kocha nalimugalu lake cjui vp tu! Yaani kamwacha captain benchi anaanza na mugalu tena? Jinga sana hilo kocha.
Leo nimejua kazi ya Mugalu, awe clinical pass penetrator, ni mzuri sana. Anatakiwa acheze na classical finisher kama boko au mk14
 
Mwenye video ya morrison akimkera steven sey aitupie humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…