FT: Namungo FC 1-3 Yanga SC | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 08.03.2024

FT: Namungo FC 1-3 Yanga SC | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 08.03.2024

Leo hatutaki mambo ya kujaribu kikosi. Huu ndio wakati sahihi kuzidi kutengeneza gap la points na makolo na wengine waliokaribu. Naamini kocha na bench wanatambua hilo hivyo hakutakua na sintofahamu zozote.

Lets Go wananchi
 
Khaa
Wenzetu wanacheza siku ya wanawake ? Nawatakia sikukuu njema mashabiki wote wa Utozidad wakiongozwa na Shadeeya
Ujumbe:Lolote jema liwakute Namungo
Ahsante Mtani.

Dooh! Namungo huwa wanakaza lakini leo points tatu muhimu tunazichukua kama kawaida.
 
Back
Top Bottom